Looking for a better freight forwarder, more competitive air and ocean freight rates? we are the logistics specialist, the most trusted freight company and our rates are very low!
Most people know 7Skies International Inc as a reliable and best shipper specialize and committed to getting your package to its destination on time with cost effective regardless of weight and size.
If you have a package that you would like to ship with us, or you have items that you want to ship on container
Kwa niaba ya Wazanzibari wote tunaoshi nje ya nchi, tunapenda kutoa shukrani za dhati na za kutoka moyoni kwenu kwa kazi nzuri na yenye umuhimu mkubwa mnayoifanya. Huduma yenu imetuwezesha kutuma na kupokea mizigo kutoka Zanzibar kwa urahisi, usalama, na kwa ufanisi mkubwa - jambo ambalo limeleta faraja na kuimarisha uhusiano wetu na familia na nyumbani kwetu.
Tunatambua juhudi zenu, moyo wenu wa kujitolea, na ubunifu wenu wa kuendeleza huduma hii muhimu kwa ajili ya jamii yetu. Kwa kweli, ninyi ni mabalozi wa kweli wa Zanzibar, mkilitangaza jina la nchi yetu kwa heshima, uadilifu, na uzalendo wa hali ya juu.
Tunaomba Mwenyezi Mungu Aendelee kuibariki kampuni yenu, kuilinda na kuikuza zaidi. Tunawaombea mafanikio mema na mustakabali mwema katika kila hatua ya huduma zenu.
Ahsanteni sana kwa dhamira yenu njema na huduma yenu adhimu.
Wenu kwa heshima na shukrani nyingi.
Khaled Gwiji.